Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ametangaza kuwa balozi wa Afrika Kusini kwa Washington hatakiwi nchini wakati uhusiano wa nchi hizo mbili ukidorora. Rubio ameandika katika mtandao wa X ...
Serikali ya Tanzania siku ya Alhamisi, imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg baada ya siku 42 bila kuwepo na maambukizi mapya, hatua inayokidhi vigezo vya Shirika la Afya Duniani ...
Watu wenye silaha waliivamia hoteli moja katika mji wa Baladweyne katikati mwa Somalia leo Jumanne ambako wazee wa eneo hilo pamoja na maafisa wa serikali walikuwa wanakutana na kuzingirwa kunaendelea ...
Tanzania imeungana na mataifa mengine ulimwenguni kusheherekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake, maadhimisho ya kitaifa yakifanyika mkoani Arusha. Katika maadhimisho hayo, wanawake wameitaka serikali ...
Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa Sebastien Lecornu alisema Alhamisi kwamba Ufaransa inashirikiana taarifa za kijasusi na Ukraine, hatua iliyofuatia baada ya Marekani kusema inapunguza ushirikiano wa ...
Iran imekamilisha miezi miwili ya mazoezi makali ya kijeshi katika miongo kadhaa huku ikijaribu kuzuia uwezekano wa mashambulizi kutoka kwa mahasimu wake Israel na Marekani, watafiti wa usalama ...
Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF Jumatatu limeonya kuwa uamuzi wa Israel wa kuzuia upelekaji wa misaada ya kibinadamu isipokuwa maji kwenye Ukanda wa Gaza, kwa haraka utapelekea ...
Hali ya vita vya Russia dhidi ya Ukraine vilivyodumu miaka 3 ilibaki kuwa ya wasiwasi Jumapili wakati Marekani ikisema kwamba haina uhakika amani inaweza kupatikana Hali limejiri wakati viongozi wa ...
Papa Francis yuko katika hali ya utulivu anapopambana na niumonia hospitalini kwa siku ya 17 sasa, na anapumzika baada ya kuwa na usiku wa amani, Vatican imesema Jumapili. Vatican Jumamosi jioni ...
Mkutano uliofanyika White House kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Ijumaa uliolenga kufikia makubaliano ambayo huenda yatairuhusu Marekani kupata haki ya ...
Spika wa baraza la wawakilishi la Marekani, Mike Johnson alipata kura za kutosha 217-215, ili kupitisha azimio la bajeti Jumanne usiku. Hatua hii ni kuendeleza juhudi za chama cha Republican za ...
Serikali mpya ya Senegal na waasi wanaounga mkono uhuru wa jimbo la Casamance kusini mwa nchi hiyo wametia saini makubaliano muhimu yanayolenga kuleta amani katika eneo hilo ambalo limevumilia miongo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results