SIMBA inashuka dimbani leo Alhamisi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa kuwa mtihani mwingine ...
PAUL Pogba yupo katika hali ya sintofahamu. Bado anatafakari hatua inayofuata baada ya kuondoka Monaco kwa kushtukiza, huku ...
MSOTO. Ni neno unaloweza kutumia kuelezea maisha ya kipa wa Polisi Tanzania, Christopher Nyakanda aliyopitia hadi kuwa ...
NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao ...
NYOTA wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry, amejitetea dhidi ya ukosoaji alioupata kutokana na namna alivyokuwa akiendesha hafla ya tuzo za Ballon d’Or ...
Kocha wa Manchester United, Michael Carrick, na nahodha wake, Bruno Fernandes wamezungumza kwa faraghani kwa lengo la ...
LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) imerejea baada kupisha michuano ya Kombe la FA ambapo sasa ni mzunguko wa tisa ambapo jana baada ...
Simba na Yanga zimejikuta zikiangukia katika makundi yenye shauku ya visasi katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
SHIRIKISHO la Soka la Hispania (RFEF), limeahirisha mechi zote 24 za Copa del Rey zilizopangwa kuchezwa leo Jumatano, kufuatia ajali ya treni mbili iliyotokea saa 2:54 asubuhi kwa saa za ...
WIKI iliyopita ilimalizika katika medani ya soka Jumapili kuliposhuhudiwa mechi kali na maarufu ya wapinzani wa jadi kati ya ...
MIONGONI mwa mabeki waliopewa nafasi na kocha Manqoba Mngqith na kuitumia vizuri ni beki wa kulia, Ibrahim Kazimoto ambaye ...
ARSENAL imetabiriwa kumaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi Kuu England msimu huu, licha ya kuendelea ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results