Nairobi. Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Bernard Kibesse amesema wanafuatilia madai ya kutekwa kwa Mtanzania, Twaha Mwaipaya huku vuguvugu la kisiasa la Linda Mwananchi nchini humo likilaani tukio ...
Dodoma. Serikali imesema Sh730 bilioni zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na athari za mvua za El Niño ni jumla ya fedha zilizopangwa na taasisi mbalimbali za umma na binafsi, na si fedha ...
Kilimanjaro. Unywaji wa pombe kupita kiasi, ikiwamo gongo kwa baadhi ya vijana wilaya za Rombo na Moshi mkoani Kilimanjaro, umeibua hofu kwa wadau, wakisema hali hiyo inaathiri afya, kipato na ...
Dar es Salaam. Mshindi wa Grammy mara mbili, Tyla, 24, anaendelea kuweka rekodi mbalimbali kubwa katika soko la muziki Afrika huku staa wa Bongofleva, Zuchu, 32, akizidi kupoteza rekodi zake mbele ya ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe, akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa mazungumzo yaliyoongozwa na vijana kuhusu afya ya ...
Kisumu. Mradi wa meli ya kisasa ya Mv New Mwanza umepongezwa na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ukitajwa kuwa fursa ya kuimarisha usafiri na ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi ...
Unguja. Utafiti mpya katika sekta ya nishati safi unaonyesha uwezekano wa kuanza kutumia nishati ya jua kwa ajili ya kupikia, hatua inayotajwa kuwa itakuwa mkombozi kwa jamii hususani wanawake. Hayo ...
Meneja wa Bayern Munich, Vincent Kompany, leo Ijumaa Oktoba 23, 2026 ameanguka ghafla mazoezini na kuwahishwa hospitali kupatiwa matibabu. Nahodha huyo wa zamani wa Ubelgiji amekuwa hajisikii vizuri ...
Kocha Mkuu wa zamani wa Yanga na Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi ameibukia nchini Morocco ambako amepwa jukumu la kuifundisha Wydad AC ya huko. Klabu hiyo ya jijini Casablanca, imemtambulisha rasmi ...
Dar es Salaam. Chakula ni sehemu muhimu katika kudhibiti viwango vya sukari kwa mwenye kisukari, lakini pia mwili unahitaji virutubisho mbalimbali kutoka kwenye vyakula tofauti. Mboga, matunda, nafaka ...
Dar es Salaam. Elimu inayotolewa hospitalini baada ya mjamzito kujifungua, imeongeza uelewa wa kinamama kuhusu dalili za hatari kwa watoto wachanga, utafiti uliofanyika katika hospitali nne za umma ...
Dar es Salaam. Serikali imetangaza ratiba ya kufungwa kwa shule kuanzia mwanzoni mwa Novemba hadi Desemba. Ni likizo ya mwaka iliyochanganyika na hofu ya tahadhari dhidi ya madhara yanayoweza ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results