Zacharia Gakinya’s head was tilted to one side and his hand seemed to be stuck in one position. The 43-year-old cried as he asked the five hooded men what he had done to deserve the brutal beating.
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limeimarisha ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali katika kile kinachotazamwa kama hatua ya kuzuia maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Magari ya polisi ...
Mwanamuziki Aslay ni miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva wanaoendelea kubaki katika ushindani kwa muda mrefu kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutunga na kuimba nyimbo zinazogusa maisha ya watu. Safari ...
Kwa kila dakika moja ya kila siku kati ya shilingi milioni 20 mpaka milioni 50 za Kitanzania zinazunguka katika michezo ya kubashiri. Zaidi ya nusu ya fedha hizi zinatokana na ubashiri wa michezo hasa ...
Tanzanian Bongo Flava icon Aslay today releases “Natulia,” the lead single from his most anticipated album campaign in years. The single arrives as the first of threepre-release tracks leading to his ...
Dar es Salaam. Wakati stori ya nyota wawili wa Bongo Fleva Mbosso na Aslay kukutana baada ya miaka minane kuzidi kutrend katika mitandao ya kijamii, wawili hao wamefunguka kila kitu juu ya ishu hiyo.
MUHUDUMU katika sekta ya Utalii ameshtakiwa kwa kumlaghai na kumlipisha bei ghali mtalii kutoka Ubelgiji. Patrick Kiilu Muthini aliyefikishwa kortini Januari 2, 2025 alikana kumlaghai Filip Martiens ...
Picha zikionesha mgahawa wa mfanyabiashara, Aslay Mihogo ulivyoteketea alfajiri ya leo Jumatano Desemba 25, 2025 eneo la Coco Beachi jijini Dar es Salaam. Picha na Sunday George Dar es Salaam. Moto ...
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Aslay Isiaka, ameungana na wadau wa burudani katika kuomboleza kifo cha muigizaji mkongwe, mzee Pembe, aliyeaga dunia Jumamosi, Oktoba 20. Aslay amesema kuwa Pembe ...
Wakati shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO limetoa kibali wiki hii kwa chanjo mpya ya kipindupindu "Euvichol-S" kuanza kutumika, shirika hilo limesema lina wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa ...