VIGOGO wa soka barani Ulaya, Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax Amsterdam ya Uholanzi, wanatarajiwa kukutana Januari 5, 2027, ...
USHINDI wa Mmalawi Paul Chidale katika mashindano ya Vodacom Tanzania Open, umeacha ujumbe muhimu kwa mchezo wa gofu Tanzania ...
PAUL Pogba yupo katika hali ya sintofahamu. Bado anatafakari hatua inayofuata baada ya kuondoka Monaco kwa kushtukiza, huku ...
MSOTO. Ni neno unaloweza kutumia kuelezea maisha ya kipa wa Polisi Tanzania, Christopher Nyakanda aliyopitia hadi kuwa ...
SIMBA inashuka dimbani leo Alhamisi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa kuwa mtihani mwingine ...
WIKI iliyopita ilimalizika katika medani ya soka Jumapili kuliposhuhudiwa mechi kali na maarufu ya wapinzani wa jadi kati ya ...
MIONGONI mwa mabeki waliopewa nafasi na kocha Manqoba Mngqith na kuitumia vizuri ni beki wa kulia, Ibrahim Kazimoto ambaye ...
LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) imerejea baada kupisha michuano ya Kombe la FA ambapo sasa ni mzunguko wa tisa ambapo jana baada ...
Kocha wa Manchester United, Michael Carrick, na nahodha wake, Bruno Fernandes wamezungumza kwa faraghani kwa lengo la ...
ARSENAL imetabiriwa kumaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi Kuu England msimu huu, licha ya kuendelea ...
SIMBA SC imefikia makubaliano ya kumuajiri mtaalamu wa soka kutoka Zambia, Honour Janza (66), kuwa Mkurugenzi mpya wa ufundi ...
INAELEZWA kwamba, hesabu za Yanga katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu ni kuutumia Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja kama walivyofanya msimu uliopita. Hiyo inakuja baad ...