USHINDI wa Mmalawi Paul Chidale katika mashindano ya Vodacom Tanzania Open, umeacha ujumbe muhimu kwa mchezo wa gofu Tanzania ...
PAUL Pogba yupo katika hali ya sintofahamu. Bado anatafakari hatua inayofuata baada ya kuondoka Monaco kwa kushtukiza, huku ...
MSOTO. Ni neno unaloweza kutumia kuelezea maisha ya kipa wa Polisi Tanzania, Christopher Nyakanda aliyopitia hadi kuwa ...
SIMBA inashuka dimbani leo Alhamisi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa kuwa mtihani mwingine ...
WIKI iliyopita ilimalizika katika medani ya soka Jumapili kuliposhuhudiwa mechi kali na maarufu ya wapinzani wa jadi kati ya ...
MIONGONI mwa mabeki waliopewa nafasi na kocha Manqoba Mngqith na kuitumia vizuri ni beki wa kulia, Ibrahim Kazimoto ambaye ...
Kocha wa Manchester United, Michael Carrick, na nahodha wake, Bruno Fernandes wamezungumza kwa faraghani kwa lengo la ...
LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) imerejea baada kupisha michuano ya Kombe la FA ambapo sasa ni mzunguko wa tisa ambapo jana baada ...
ARSENAL imetabiriwa kumaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi Kuu England msimu huu, licha ya kuendelea ...
SIMBA SC imefikia makubaliano ya kumuajiri mtaalamu wa soka kutoka Zambia, Honour Janza (66), kuwa Mkurugenzi mpya wa ufundi ...
NYOTA wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry, amejitetea dhidi ya ukosoaji alioupata kutokana na namna alivyokuwa akiendesha hafla ya tuzo za Ballon d’Or ...
SHIRIKISHO la Soka la Hispania (RFEF), limeahirisha mechi zote 24 za Copa del Rey zilizopangwa kuchezwa leo Jumatano, kufuatia ajali ya treni mbili iliyotokea saa 2:54 asubuhi kwa saa za ...