Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amesema barabara za lami zenye urefu wa kilomita 59.1 zimejengwa katika Mji wa Serikali wa Mtumba jijini Dodoma.
Unguja. Mahitaji ya umeme visiwani Zanzibar yamefikia megawati 165, huku kiasi kinachopokewa kutoka Tanzania Bara kupitia kebo ya baharini kikiwa ni megawati 135.7 pekee. Hali hiyo inasababisha ...
Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Oktoba 30, 2026, na Jaji Alexender Muteti aliyesikiliza maombi ya dharura yaliyofunguliwa na Taasisi ya Vocal Africa, Jaji huyo ameagiza Mwaipaya afikishwe kortini ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imekubali kupokea kiapo cha ziada katika shauri linalohusu madai ya kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema ...
Nyota wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo, wakati akishangilia moja ya bao katika mechi ya Ligi Kuu Saudi Arabia dhidi ya Al-Kholood Riyadh, Saudi Arabia. Nyota wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo, ameendeleza ...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar Akizungumza na watumishi wakati wa ziara yake katika ofisi za TRA Zanzibar ambapo aliwataka kuongeza ubunifu ili kutanua wigo wa kodi. Zanzibar. Mamlaka ya ...
Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imeunda timu maalumu ya kuchunguza tuhuma za uzembe wa wahudumu wa afya katika Hospitali ya Kaloleni, zinazohusishwa na kifo cha Esther Mrema, mkazi wa Njiro ...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele, akizungumza kwenye mkutano wa ujirani mwema katika kijiji cha Masanga wilayani humo kilicholenga kudumisha mahusiano mema kati ya wakazi wa Kata ya Gorong ...
Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara wakiwa na kinyago cha fisi walichopewa kama zawadi baada ya halmashauri hiyo kuwa ya mwisho kwenye usafi wa mazingira. Picha na Beldina Nyakeke.
Dodoma. Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeanza mchakato wa kujenga soko jipya linalotarajia kugharimu Sh2 bilioni kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo (wamachinga) ambao hawana maeneo rasmi ya kufanyia ...
Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Mashujaa United, iliyochezwa leo Jumanne, Oktoba 27, 2026, katika Uwanja wa KMC ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results