Kilimanjaro. Unywaji wa pombe kupita kiasi, ikiwamo gongo kwa baadhi ya vijana wilaya za Rombo na Moshi mkoani Kilimanjaro, umeibua hofu kwa wadau, wakisema hali hiyo inaathiri afya, kipato na ...
Mkuu wa wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni, akizungumzia operesheni ya siku saba itakayofanyika wilayani humo kudhibiti na kuwaondoa wanyamapori waharibifu kwenye makazi ya wananchi.
Dar es Salaam. Mshindi wa Grammy mara mbili, Tyla, 24, anaendelea kuweka rekodi mbalimbali kubwa katika soko la muziki Afrika huku staa wa Bongofleva, Zuchu, 32, akizidi kupoteza rekodi zake mbele ya ...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Stanslaus Nyongo akizungumza na waandishi wa habari. Kibaha. Mkoa wa Pwani unalenga kuwafikia wananchi milioni moja kupitia kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (Mama ...
Kisumu. Mradi wa meli ya kisasa ya Mv New Mwanza umepongezwa na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ukitajwa kuwa fursa ya kuimarisha usafiri na ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi ...
Unguja. Utafiti mpya katika sekta ya nishati safi unaonyesha uwezekano wa kuanza kutumia nishati ya jua kwa ajili ya kupikia, hatua inayotajwa kuwa itakuwa mkombozi kwa jamii hususani wanawake. Hayo ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe, akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa mazungumzo yaliyoongozwa na vijana kuhusu afya ya ...
Dar es Salaam. Elimu inayotolewa hospitalini baada ya mjamzito kujifungua, imeongeza uelewa wa kinamama kuhusu dalili za hatari kwa watoto wachanga, utafiti uliofanyika katika hospitali nne za umma ...
Dar es Salaam. Upatikanaji wa chumvi yenye madini joto katika kaya na kwa wauzaji wa chakula cha mtaani umeimarika katika Wilaya ya Nyamagana, Mwanza, lakini uelewa wa wananchi kuhusu umuhimu wa ...
Dar es Salaam. Serikali imetangaza ratiba ya kufungwa kwa shule kuanzia mwanzoni mwa Novemba hadi Desemba. Ni likizo ya mwaka iliyochanganyika na hofu ya tahadhari dhidi ya madhara yanayoweza ...
Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus. Maduka 20 kati ya 64 yameteketea kwa moto katika Stendi Mpya ya Buza kwa Mama Kibonge, Wilaya ya ...
Meneja wa Bayern Munich, Vincent Kompany, leo Ijumaa Oktoba 23, 2026 ameanguka ghafla mazoezini na kuwahishwa hospitali kupatiwa matibabu. Nahodha huyo wa zamani wa Ubelgiji amekuwa hajisikii vizuri ...