HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imemteua Jokate Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, akichukua nafasi ya Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya ...