Mkutano uliofanyika White House kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Ijumaa uliolenga kufikia makubaliano ambayo huenda yatairuhusu Marekani kupata haki ya ...
Jamii ya wanawake wa Kimasai nchini Tanzania imeendelea kupambana na changamoto mbalimbali za kimila na kijamii katika harakati za kupata elimu, licha ya muamko unaoonekana miongoni mwao juu ya ...
Waziri mkuu wa israel Benjamin Netanyahu amefika katika mahakama ya Tel Aviv Jumanne kwa mara ya kwanza katika kesi ya rushwa inayomkabili kwa muda mrefu. Netanyahu aliwasili majira ya asubuhi wakati ...
Mapigano makali yanaendelea kati ya wanajeshi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na wapiganaji wa kundi la waasi la M23 wanaoungwa mkono na wanajeshi wa Rwanda, katika mji wa Goma. Kuna ripoti za ...
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimetoa ripoti iliyoonyesha mafanikio katika kuimarisha demokrasia nchini huku kukiwa na ushiriki mdogo wa vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu katika nafasi za ...
The code has been copied to your clipboard. The URL has been copied to your clipboard ...
Serikali mpya ya Senegal na waasi wanaounga mkono uhuru wa jimbo la Casamance kusini mwa nchi hiyo wametia saini makubaliano muhimu yanayolenga kuleta amani katika eneo hilo ambalo limevumilia miongo ...
Rais wa Marekani Donald Trump Jumatano amechelewesha kwa mwezi mmoja ushuru mpya wa asilimia 25 kwa magari kutoka Mexico na Canada wakati kukiwa na wasi wasi kwamba vita vya biashara na mataifa hayo ...
Wakati huo huo Rais wa Taiwan Lai Ching-te amesema ni watu wa Taiwan pekee wanaoweza kuamua mustakabali wao. China itaongeza juhudi zaidi kwa ajili ya kuungana kwa amani na Taiwan lakini itachukua ...
Rais wa zamani wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, amefariki leo Alhamisi akiwa na umri wa miaka 98, vyanzo vya habari nchini Tanzania vimeeleza. Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu, Rais Samia Suluhu ...